Yaan inaonekana anapenda vya bure ngoja siku wakosane afurumushweee heeee ataipatajee,ila wema ana roho nzuri hua anajali sana marafikia zake lakin wao kumjali sasaaa!!!!
Eeh!!! Binamu yangu Dinazarde alivyo mbea hvyo bado umempenda?? Mmh kweli kila shetani na mbuyu wake, aya binamu popote ulipo uko njoo haraka sana
Wema ana roho nzuri...nimeliona li cheusi dawa jana kwenye my shoes kwa wema , anavyojishaua sasa kupakua chakula kwenye ma hot pot nikasema mmh!! Wema anawaokoa wengi mjin apa, sasa najiuliza huyo mwenye mimba hailei mimba yake mpaka anaenda kudoea kwa wema? Halafu mastaa kushobokeana ata haipendez ye hamuoni wolper hana shobo na mtu
Nini mwananyamala? Watu mpaka ifakara tunaenda kufuata umbea, watu na vipaji vyetu bhana
Ww tena binamuuu?? Sio la kuomba hilo , unakuja na ndege au treni? Maana nataka kuja kukupokea kabisaa
Kwanza ana pesa kama kaka ivan? Kama hana akafie loliondo nfyuuu
Hehhheeeee binam private car mbona wataka kuniaibisha wakati mie boss lady wa mwanza mkaanga samaki maarufu alaaaaaa
Wapi Mrembo by Nature kitu cha three some, ivi mrembo kaenda wapi? Nilisikia umbea eti yupo india sijui kweli, maana sio ukimya huu khaa!!
Heheeeeee!!!!itakua maana na dogmasta yupo india atakuja tu umemiss swaga zake eee!!!
Ahahahah shauri zako ngoja aje mi mwenzio nimesema tu wala sijamaanisha hvyo...kwi kwi kwi...ivi matikibokoyao kasharudi? Au ndo kaona umbea haulipi kaamua ageukie upande wa pili? Ahahahah
Ahahahah shauri zako ngoja aje mi mwenzio nimesema tu wala sijamaanisha hvyo...kwi kwi kwi...ivi matikibokoyao kasharudi? Au ndo kaona umbea haulipi kaamua ageukie upande wa pili? Ahahahah
Siyajui ujue? Mi ngoma ya mrembo nzitoo siiwezi ujue?
Yaan inaonekana anapenda vya bure ngoja siku wakosane afurumushweee heeee ataipatajee,ila wema ana roho nzuri hua anajali sana marafikia zake lakin wao kumjali sasaaa!!!!