Madai ya kukashifiwa kama ukifa nayo yanakufa?

Madai ya kukashifiwa kama ukifa nayo yanakufa?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ninapokashifiwa Mimi ninaumia mm pamoja na watu wangu, mke wangu, wanangu, wazazi wangu pamoja na ndugu na jamaa zangu. Kuna wakati baadhi Yao wanatumia sana kuliko hata Mimi niliyekashifiwa na kitukanwa,

Je kama mmi nitakufa ni kweli kuwa kashfa na matusi yanakufa pia?

Kama ndio ni kwanini yafe wakati miongoni mwa walioumizwa na matusi na kashfa hizo na aliyetukana na kukashifu bado wapo hai?
 
Kama ukifa na yenyewe yanakufa pia basi hatabaki mtu,
 
Back
Top Bottom