Madai ya kuwa Polisi ni waonevu Yasipuuzwe, tukio la Hamza lituunganishe zaidi kuliko kutugawa



Sasa hapa ndio hatari ndani ya jamii maana wengine hatupendi upuuzi
 
Nani alitunga Budah??
Kudhulumiwa madini sio kweli. Kuna video kasikika akisema yuko tayari kufa kumtetea Allah na wako vijana wengi wa kiislamu kutekekeza hilo. Kwamba ndugu zake waislamu wanafungwa na kuonewa na polisi. Hii ni 'excuse' ya magaidi wengi.
 
Kudhulumiwa madini sio kweli. Kuna video kasikika akisema yuko tayari kufa kumtetea Allah na wako vijana wengi wa kiislamu kutekekeza hilo. Kwamba ndugu zake waislamu wanafungwa na kuonewa na polisi. Hii ni 'excuse' ya magaidi wengi.
Tatizo hatutaki kutumia akili zetu katika kuhukumu mambo...bali wengi wenu wanatumia makalio yao katika kuhukumu....


Audio unayoisema Cheif...imetoka baada ya siku tatu ya tukio
Vipi tutaamini?!

Kisha fahamu
Hakuna anaetetea uhalifu na dhambi hasahasa katika Jamii tunayoishi
 
Kudhulumiwa madini sio kweli. Kuna video kasikika akisema yuko tayari kufa kumtetea Allah na wako vijana wengi wa kiislamu kutekekeza hilo. Kwamba ndugu zake waislamu wanafungwa na kuonewa na polisi. Hii ni 'excuse' ya magaidi wengi.


Nimeisikia Mkuu.
Ngoja tuipe muda tutaujua ukweli
 


Tuipe Muda
 
Hivi kama alidhurumiwa mali yake hao aliowaua ndiyo waliomdhurumu? Na kama ni gaidi au alikuwa na hasira dhidi ya polisi na kwa vile alikuwa ameshajiandaa kufa kwa nini hakwenda sehemu yenye polisi wengi zaidi ya hao wachache aliowaona na kuwashambulia maana huko kwenye wengi angeonyesha ugaidi au hasira yake vizuri zaidi. Awe gaidi au aliyedhurumiwa lakini ukweli ni kwamba hakuwa kajipanga.
 
Mkuu nini kifanyike ili hiyo chuki inayoendelea kati ya baadhi ya wananchi dhidi ya polisi?
 
Punguza jazba. Nimesema video. Video hio imerekodiwa na watu waliokuwa kwenye daladala ambapo hakuwadhuru maneno hayo alikuwa anaongea wakati anaendelea na shughuli yake.
Put it the way you like. He is a terrorist.
 
Dhulm, unyanyasaji na uonevu vikomeshwe mara moja Kama madai ya wananchi yanavyosema
Wewe ndiyo mwenyechuki na polisi nakushauri umtume mbunge wako awasilishe ombi bungeni la kufuta jeshi la polisi.

Acha siasa za majitaka!!
 


Upo sahihi kabisa
 
Robert

Elewa yafuatayo

1-ukichukua saizi polisi 10 kila mtu uumpe lisasi tano alenge mdoli wa mtu au salamu wote kumi hayupo wakuweza kulenga


2, ukiwa uliza polisi kwann hamfanyi mafunzo ya range mara kwa mara watakwambia gharama risasi moja inauzwa bei kubwa sana lakini wanajeshi wao mara nyingi wanafanya (jwtz

3,mafunzo ya hawa jamaa ni miezi 6 na hupata namba ya kazi baada ya miaka 10 =unanielewa hapo

Tunachangamoto hamna kitu
 


Mkuu sikuwa najua haya
 
Matukio mengi makubwa hutanguliwa na madogo yaliyotokea kisha yakapuuzwa.

Polisi wanaweza kupuuza tukio la Hamza, na hata kutoa matokeo ya uwongo ya uchunguzi, lakini hawana uwezo wa kuubadilisha uhalisia.

Mtoa mada upo sahihi sana. Nimeangalia video clips nyingi za wanahabari waliowahoji watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali na CCM, waliowahi kuwa karibu na Hamza, ukweli ni kuwa:
1) Wote wametamka kuhuzunishwa na kifo cha Hamza
2) Wote wamesema Hamza alikuwa mtu muungwana, mtu mzuri, mtulivu, na asiye mgomvi
3) Hakuna aliyetamka kuwa amesikitishwa na vifo vya polisi!!

Huruma kwa Hamza, zaidi imebebwa na historia yake ya maisha. Kwa upande wa Polisi, hakuna aliyetamka kama Polisi ni watu wema, watu wa haki, weledi na waungwana. Wala hakuna aliyesema kwa uwazi ubaya wao, lakini kwa hakika, matendo ya polisi wetu yanawafanya wasiaminike hata pale watakapotoa taarifa ya ukweli. Wao wanaishi kwenye kuonea watu, kudanganya na kudhulumu. Mnakumbuka mauaji ya wafanyabiashara wa madini yaliyofanywa na Polisi miaka ya nyuma. Polisi na makamanda wao, walishirikiana kufanya mauaji, na kutoa taarifa ya uwongo kwa umma. Historia mbaya ya Jeshi la Polisi, inawabeba kwenye kapu la uovu.

Bahati mbaya inaonekana Polisi wameamua kufunga ndoa ya kanisa na hilo kapu la uovu.
 
Mkuu nini kifanyike ili hiyo chuki inayoendelea kati ya baadhi ya wananchi dhidi ya polisi?
Utungwe sheria mpya itakayoongoza muundo wa polisi, kazi zake na maadili ya kazi. Kisha Jeshi la Polisi liundwe upya.

Jeshi letu hili kuna wakati linafanya kazi kama genge la wahalifu.
 
Mkuu sikuwa najua haya
SIKU tuazishe opareshi tuchukue landamli polisi 10 kila mtu tu nampa lisasi tano apige sanamu pale tumuwekee mitaa kadhaa
Tena tusiwabane tuwambie kati ya risasi hizo tano piga
Tunawapa kila askari atakayepiga risasi hata 4 tunampa milioni moja hawa Tanzania polisi
Hela zote tunarudinazo nyumbani

Hayupo tutakayempata ila sio jwtz hawa hela usipeleke hautarudi nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…