Madai ya kuwa Polisi ni waonevu Yasipuuzwe, tukio la Hamza lituunganishe zaidi kuliko kutugawa


Kama ni hivyo basi mabadiliko yanatakiwa
 


Hatari Sana mkuu
 

Mkuu andiko lako tunaweza sema ni ‘Case Study’ kama kuna wahusika wanapita hapa wachukue haya madini maana ume balance story yako kati ya jamii na walinda amani wetu
 
Nitakaribia Mkuu nirostiwe nyama choma ya Mamba
nyama choma unaumri gani kama umevuka 30 utakuta ya kuku japokua ng'ombe ndo balaa nambuzi

Ni ushauri tu kula kuku au white meat ila karibu unavokuja ujage na ttcl mtandao mingine huku haipo usije gombezwa na familia umekuja kwakimada umezima cm kumbe hapana
 
Kutumia makalio ni kuamini cha upande mmoja ili usitumie makalio sikiliza pande zote kisha tafakari kwa nini Hamza hakuwaua Raia wa kawaida?
 
Mlitunga hamza kaonewa ila mwananchi kawaumbua, hamza ni gaidi....tena gaidi wa kiislamu kama magaidi wakuu wemgine
Kwahiyo magufuli alikuwa akilea magaidi kiasi kwamba hadi akawa anapanda nao majukwaani?

Ama kweli ccm ni kiwanda cha kuzalisha magaidi na majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…