Salama ndugu zangu,
mwenzenu naandika thread hii nikiwa na ghadhabu juu ya hii serikali yetu inayotunyanyasa waalimu, nina madai mengi ninayodai lakini nimeishia kusikia ahadi zao kwenye vyombo vya habari tu kwamba wanalipa lakini wapi,
ndugu zangu hii serikali imejaa ulaghai ulionivunja moyo wa kuwasaidia hawa watoto,