brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
Chanzo cha Kuongezeka na kupungua kwa homoni mwilini husababishwa nanini!!??
Nani madhara gani umpata MTU kama homoni zicpo balance???
Kwa jinsia yoyote,
Ila mm n ME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MeWe ni me au ke
Mathara yapi anayopata mtu kama homoni zake zikiwa azipo kwenye balance!???Sababu moja ni baadhi ya vipodozi mfano vyenye steroids,,hivi hushusha uzalishaji wa steroids mwilini ambazo hormone
Pia inaweza kutokea kutokana na uzao..i.e genetically
Ni ugumba na kupungukiwa nguvu za kiume kwa mwanaumeMathara yapi anayopata mtu kama homoni zake zikiwa azipo kwenye balance!???
Ndo nn!??Menstruation irregularities