Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

galimoshi

Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
11
Reaction score
8
Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo.

Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Mahundi kwa kushirikiana na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mbeya.

gfdhh.jpg
 
Back
Top Bottom