Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Ni kweli mkuu, ma dr kwenye hospitali zetu ukiingia TU anakuliza unaumwa Nini ukinza kumwambia yeye tayari Kisha maliza kuandika ukapime Nini/unaumwa Nini.....Standard zetu bado zipo chini sana.
Dr. Mmoja anahudumia Wagonjwa kibao, unakuta una Mgonjwa kwenye chumba chako wakati nje wapo Wagonjwa Kama 50 wote wanasubiri uwahudumie, so mazingira yatakulazimisha kufanya kama alivyofanyiwa shemeji yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi Daktari anatakiwa kukaa na mgonjwa 30 minutes 15minutea lab. Investigation na 15 minutes making diagnosis and prescribing na max. Number of patients to be attended by a Doctor is 15 patients per day.Ni kweli mkuu, ma dr kwenye hospitali zetu ukiingia TU anakuliza unaumwa Nini ukinza kumwambia yeye tayari Kisha maliza kuandika ukapime Nini/unaumwa Nini.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi uliopita mwanangu wa miezi 5 alipelekwa hospitali flani ya serikali na mama yake, huwezi amini dawa alizopatiwa ni za vidonge.. dah! Nilichoka kwakweli.Kimsingi Daktari anatakiwa kukaa na mgonjwa 30 minutes 15minutea lab. Investigation na 15 minutes making diagnosis and prescribing na max. Number of patients to be attended by a Doctor is 15 patients per day.
Sasa rudi kwenye hizo health facilities zetu Daktari kwa siku anakutana na wagonjwa 50- 80.
Huo muda wa kumweleza mgonjwa utatoka wapi?
Serikali iboreshe huduma ya Afya
Mzigo upungue kwa wahudumu was afya.
Mazingira ya kutolea huduma yawe rafiki.
Ni hayo tu kwa leo!
Usishangae sasa kwenye health facilities za serikali matibabu yapo ya namna mbili:Mwezi uliopita mwanangu wa miezi 5 alipelekwa hospitali flani ya serikali na mama yake, huwezi amini dawa alizopatiwa ni za vidonge.. dah! Nilichoka kwakweli.
Dah! Sasa wanatuweka kwenye hali ngumu mno...na kama hatupo serious kwenye maswala ya afya, tusitegemee maendeleo chanya kwa nchi yetu.Usishangae sasa kwenye health facilities za serikali matibabu yapo ya namna mbili:
Matibabu ya kisiasa: haya ni matibabu ambayo huduma hutolewa bila kufuata misingi ya kazi, mfano dawa ambayo mara nyingi hupatikana huko ni septrin.
So wanasiasa wanaagiza madaktari waandike hiyo septrin kwa magonjwa yote kitu ambacho ni hatari sana.
Lakini Daktari inabidi aandike hakuna namna.
Matibabu halisi: hapa unaandika kulingana na matatizo ya mgonjwa lakini hata akikosa hospitali yuko tayari kununua bila malalamiko.
Hiyo ndo hali halisi
Hasa local government ni shida Sana.
Tanzania siasa imetawala kila mahali hadi kwenye afya za watu.Dah! Sasa wanatuweka kwenye hali ngumu mno...na kama hatupo serious kwenye maswala ya afya, tusitegemee maendeleo chanya kwa nchi yetu.