Ni vizuri kupata ushauri wa pharmacist zinatofautiana volume hizo antifungal creamsSo antifungus yeyote itafaa
pole mkuu nahisi ni fungikuvu
HapanaNi vizuri kupata ushauri wa pharmacist zinatofautiana volume hizo antifungal creams
wadudu wanaosababisha ugonjwa wa ngozi kwa kiingereza fungalNdo nini mkuu
Kwanini sio mfamasia?Hapana
Inatakiwa amwone dr na siyo mfamasia
Kama yuko mjini amwone dr wa ngozi aka dermatologist
Mfamasia kazi yake ni kugawa dawa kwa maelekezo ya dr pia kichanganya/kutengeneza dawaKwanini sio mfamasia?