madaktari mnasemaje kuhusiana na hili?

madaktari mnasemaje kuhusiana na hili?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
condom_is_too_loose_large.png


jamani hii photograph inaonesha kwamba kuna condom over size na nyingine under size!

mimi toka nianz kutumia condom sijawahi fuatilia masuala ya dimensions kama inavyoelekezwa hapa!

je hii inaweza kuwa sababu nyingine ya kupasuka kwa condom wakati wa tendo takatifu ?

please wataalam, maelezo mengi yametolewa kwa picha! ufafanuzi wenu muhimu !!!
 
no plast ni self adjusting wala huja ya luworry out
 
Back
Top Bottom