Madaktari mpoo??

Madaktari mpoo??

hahaha mwambie dogo mambo sio rahisi hivyo kama anavyofikiria
 
Mkiwa depo ya mafunzo ya Kijeshi mnaitwa Kuruta till mmemaliza mafunzo ndipo unaitwa mwanajeshi..ukianza kozi ya Udaktari utaitwa Daktari - Mwanafunzi tu! Ukienda Intern vivyo hivyo,utakuwa Dr pale tu utakapokabidhiwa mikoba!
 
alafu kama vile ni mtu wa mbwembwe ngoja anatomy,pathology na pharmacology zikamlegeze.
ahaa ahaaa nimekutania kijana usije badilisha fani.
 
alafu kama vile ni mtu wa mbwembwe ngoja anatomy,pathology na pharmacology zikamlegeze.
ahaa ahaaa nimekutania kijana usije badilisha fani.

Hii post ni nzuri sana good explanation zenye kujenga.
 
Nakumbuka zamani tukiwa chuoni jamaa mmoja akawa anaandika kwenye daftari zake eti Dr.........! Dr wa ukweli wa Medicine alipoliona hilo jina alikoroma karibia nusu saa! Kila akizunguka kwenye chumba akimkaribia yule jamaa anasema eti unajiita Dr. wakati hata u.pu.mbavu wa udaktari hujaupata she.nzi kabisa!!!! Sasa huyu Mbwiga wa Mbwigule naye anaanza kujiita Dr. hata chuoni hajakanyaga, makubwa haya!!
 
Point kuu ni difficulty of things or? Kuna advantage nimeshaipata hadi hapa thanx alot.
 
Madaktari wenzangu mpoo mbona kimya au ndo wote jicho wizara ya afya?
Mkuu mtoto bado hajaza.liwa ushanunua
Suruali,kanzu na pensi kama wa kike je! Itakuwaje? Au uhakika vp labaratory hutaki tena aunataka udaktari now
 
Mkuu mtoto bado hajaza.liwa ushanunua
Suruali,kanzu na pensi kama wa kike je! Itakuwaje? Au uhakika vp labaratory hutaki tena aunataka udaktari now

Changamoto tu za kutaka kujua hili na lile ujue humu kuna wengi wana mambo muhimu sana.
 
jamani mbona kuna mtu mnamuita mwalimu akati hata chuo hajalipoti!
 
mleta mada wala usiogope. Shule ya udaktari wala haina ugumu wowote. We jiite tu doctor hata kabla ya kwenda chuoni kwani inaashiria dreams zako kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom