Sospetergideon
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 300
- 16
alafu kama vile ni mtu wa mbwembwe ngoja anatomy,pathology na pharmacology zikamlegeze.
ahaa ahaaa nimekutania kijana usije badilisha fani.
Mkuu mtoto bado hajaza.liwa ushanunuaMadaktari wenzangu mpoo mbona kimya au ndo wote jicho wizara ya afya?
Ushajipachika u- MD bila hata kugusa Anatomy? Safi sana..
Mkuu mtoto bado hajaza.liwa ushanunua
Suruali,kanzu na pensi kama wa kike je! Itakuwaje? Au uhakika vp labaratory hutaki tena aunataka udaktari now
mbona walimu wanaitwa walimu hata chuo hawajaingia