Madaktari mtu akiletwa kwenu kavunjika kiungo, muungeni vizuri msikimbize kimbize mnasababishia wagojwa maumivu mara 2

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Kama vile mguu, mkono mara nyingi sana nimeshashuudia mtu anavunjika, anapelekwa kuugwa
mwezi mmoja utasikia madaktari waliunga vibaya
nini huwapata madactari?
kuweni makini na kazi yenu basi
 
Usidhalilishe fani za watu nina imani madaktari wanafanya kazi nzuri sana katika fani ya mifupa.

Hakuna daktari anayekimbizana na mgonjwa aliyevunjika ilimradi amtibu tu bali wanafuata taaluma yao.

Kwa mfano kila mfupa una taratibu zake za kuungwa na muda wake pia na unategemea umevunjikaje na aina gani imetumika jinsi ya kutibu au kuunga.

Na pia je mgonjwa amefuata masharti aliyopewa wakati wa tiba.

Watanzania tunapenda sana kuwalaumu watoa huduma hata kama kuna mapungufu lakini huduma za afya ni two way traffic
 
Hayajakukuta
 
Back
Top Bottom