Usidhalilishe fani za watu nina imani madaktari wanafanya kazi nzuri sana katika fani ya mifupa.
Hakuna daktari anayekimbizana na mgonjwa aliyevunjika ilimradi amtibu tu bali wanafuata taaluma yao.
Kwa mfano kila mfupa una taratibu zake za kuungwa na muda wake pia na unategemea umevunjikaje na aina gani imetumika jinsi ya kutibu au kuunga.
Na pia je mgonjwa amefuata masharti aliyopewa wakati wa tiba.
Watanzania tunapenda sana kuwalaumu watoa huduma hata kama kuna mapungufu lakini huduma za afya ni two way traffic