Madaktari, Mtu mwenye upungufu wa kinga akitumia ARV kwa wiki 3/4 akipima majibu yatakuwa negative?

mwibamwiba

Senior Member
Joined
May 22, 2015
Posts
150
Reaction score
38
Leo ktk maswali na majibu juu ya suala la Upungufu wa kinga mwilini,daktari wa kipindi cha radio hiyo aliulizwa,je,mtu mwenye virusi akishiriki tendo la ndoa na mwenza asie na virusi anaweza kumuambukiza? Dakt. alijibu kuwa, mtu mwenye virusi akitumia dawa kama inavyopaswa kwa muda wa majuma manne mfululizo atakuwa ameondoa virusi vyote ktk damu na hata akienda kupima majibu yatakuwa NEGATIVE.

Hii ni kufuatia kuwa baada ya dawa kuanza kufanya kazi wadudu hufubaa na mwisho hukimbilia katika tezi na kuondoka kabisa ktk damu.

Ila pindi mtu huyu mwenye virusi akisimama kutumia dawa au kutumia nusunusu kwa kwa kuharibu dozi basi,wadudu watarudi ktk damu na akipima atakutwa tena POSITIVE.

Juu ya kushiriki tendo la ndoa na mweza wake asie na virusi alidai pindi atumiapo dawa hizo kwa hayo majuma manne ni ngumu kumuambukiza mtu ingawa alisisitiza matumizi ya kinga.Hii inafuatia ugunduzi mkubwa wa kupiga hatua kuelekea kupata dawa kamili ya ugonjwa huu pale radio moja ya Kiswahili kutoa habari kwa njia ya luninga kuwa imegundulika uwezekano mkubwa wa dawa za virusi kuzuia kabisa saratani au kuiondoa toka hatua moja mbaya kuileta hatua nafuu ambayo mgonjwa atapungukiwa maumivu,kama sio kuponya kabisa saratani ya mlango wa uzazi.

Pia ikumbukwe zipo dawa tayari mtu akimeza hapati ugomjwa huu wa upungufu wa kinga mwilini saa kadhaa kabla ya kshiriki tendo la ndoa peku au mtu kumeza vidonge fulani ndani ya saa 72 sawa na sku tatu baada ya kuhisi kutokuwa salama baada ya kushiriki na mtu pekupeku au kubakwa.
Mengineyo ni muhimu ktk kuelimishana.:yield:
 
na pia haina guarantee kwamba hautakuwa HIV positve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…