Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Madaktari njooni mtusaidie hapa.
Kipindi ambacho Jacob Zuma alikuwa akigombea urais wa Afrika Kusini, kuna watu walimuuliza kuhusu afya yake, yaani ni kwamba alikuwa akifanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI.
Sasa kwenye majibu yake alijibu kwamba: “Ni kweli nilikuwa nafanya mapenzi na muathirika, ila kila nilipokuwa namaliza nilikuwa naoga maji ya moto.”
Naomba niulize hapa nyie madaktari, kuoga maji ya moto baada ya kufanya mapenzi na muathirika husaidia nini mpaka na wewe usiambukizwe? Kwa nini yeye hakuambukizwa kwa sababu ya maji ya moto?
Tunawasikiliza.8