Nina shida sana na hormone hii: Human chorionic gonadotropin (hCG) au Gonadotropin- releasing hormone (GnRH). Nahitaji mojawapo. Naomba kujua nitapata wapi na zinauzwa kwa jina gani kibiashara. Nimeuliza pharmacy nimeshindwa. Nataka kutumia kwa mifugo ku "induce evolution."
Nitashukuru sana.