Madaktari na wana ndoa naombeni msaada

Madaktari na wana ndoa naombeni msaada

kbo

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Je genital warts yaani kwa jina jingine sunzua, yaani vipele vigumu sehemu ya siri kwenye nywele vinamadhara kiasi gani katika afya ya uzazi?.

Ningependa kupata experience kabla sijaingia kwenye ndoa.
 
Kwa hiyo unahofia hilo ndiyo maana hujaingia kwenye ndoa mpaka sasa? Nani kakuambia lazima upate?

Acha uoga huwezi kushindwa kuingia kwenye ndoa kwa sababu kama hii,...
 
Je genital warts yaani kwa jina jingine sunzua..yaan vipele vigumu sehemu ya siri kwenye nywele vinamadhara kiasi gani katika afya ya uzazi?....ningependa kupata experience kabla sijaingia kwenye ndoa

Ina maana wanandoa tu ndio wanapata hizi genital warts eeh?!
 
Kwa hiyo unahofia hilo ndiyo maana hujaingia kwenye ndoa mpaka sasa? Nani kakuambia lazima upate?

Acha uoga huwezi kushindwa kuingia kwenye ndoa kwa sababu kama hii,...

Noo...ndugu zangu...nina warts zipatazo kama tano sehemu ya siri kwenye nywele...hivyo nilitaka kujua madhara yake katika afya ya uzazi..ninaamini wana ndoa wengi washapata semina mbalimbali kuhusiana afya ya uzazi..hususani unapohisi vitu vya tofauti katika via vya uzazi
 
Oooh sasa nimeelewa, pole sana.
 
mh naona unataka msaada wa wanandoa tu na si wataalamu au watu wenye ujuzi wa afya….
 
je genital warts yaani kwa jina jingine sunzua, yaani vipele vigumu sehemu ya siri kwenye nywele vinamadhara kiasi gani katika afya ya uzazi?.

Ningependa kupata experience kabla sijaingia kwenye ndoa.
pole sana mke wangu alikuwa na tatizo hilo kabla ya ndoa nikampeleka kwa daktari flani arusha akampa dawa ambayo ilimaliza tatizo kwa kipindi kifupi sana.....naweza kukuelekeza
 
Ok...vp havijapata kurudia tena?..mimi nipo dar...ila nashukuru sana bro
 
Hivo vipele havina madhara yoyote katika afya ya uzazi kwa mwanaume.kwa mwanamke inasababisha cervical cancer au anal cancer kwa wote!
Genital warts inasababishwa na maambukizi ya virusi(Human Papilloma Virus)ambaye unaweza kupata kwa direct au indirect contact with your skin. Virusi hawa wanazalishwa kwenye layer ya juu ya ngozi inayoitwa epidermis.Virusi hawa wanasababisha celi za layer ya ngozi kugawanyika na hatimae kujenga uvimbe.Ukipata virusi hawa mwili unajenga kinga dhihidi ya maambukizo ya baadae,yaani unakuwa nao mwilini.
Ugonjwa huu hauna dalili zaidi ya vipele/uvimbe kwenye ngozi wenye ukubwa wa 1-3 mm kwa upana venye umbo la kama cauliflower na muwasho...
genital warts.jpg
 
Hivo vipele havina madhara yoyote katika afya ya uzazi.
Genital warts inasababishwa na maambukizi ya virusi(Human Papilloma Virus)ambaye unaweza kupata kwa direct au indirect contact with your skin. Virusi hawa wanazalishwa kwenye layer ya juu ya ngozi inayoitwa epidermis.Virusi hawa wanasababisha celi za layer ya ngozi kugawanyika na hatimae kujenga uvimbe.Ukipata virusi hawa mwili unajenga kinga dhihidi ya maambukizo ya baadae,yaani unakuwa nao mwilini.
Ugonjwa huu hauna dalili zaidi ya vipele/uvimbe kwenye ngozi wenye ukubwa wa 1-3 mm kwa upana.
View attachment 164307

Nashukuru sana kwa maelezo.....lakini huu muwasho mkali ninaoupata mapajana mpaka sehemu za siri unasababishwa na hizi warts au ni kitu kingine?
 
Hujanieleza upoje mkuu,pigam picha huo upele uweke hapa...au uende hospitali upatiwe matibabu!
 
Ok...vp havijapata kurudia tena?..mimi nipo dar...ila nashukuru sana bro
Havikurudia tena had leo .....na dawa yenyewe ni cheap sana......take care maana vinaambukiza kwa skin contact
 
Hujanieleza upoje mkuu,pigam picha huo upele uweke hapa...au uende hospitali upatiwe matibabu!
Acha utani hiyo ni HPV infection so lazima uwe na muwasho sana na baadae utaanza kutokwa na uchafu
 
Kweli unachoongea na ndio ninachokihisi mpaka sasa....nishauri cha kufanya mkuu
 
Back
Top Bottom