Madaktari na watu wazima only

kwa ushauri wng!! mwambie asome medical laboratory science!! kunachuo kizuri sn huku tabora kinaitwa nkinga institute of health science!!

achague medical lab science ni nzuri pia chuo ni rahc kupata
 
Aende lab, hata muhas atapata! mambo ya clinical ni kuyeyushana tu! akitaka kuwa full md anaanza 'a' km katoka shule juzi, sa mambo gani hayo!!
 
Atapata sifa zinazotakiwa ni D za masomo ya sayansi, ila pia ushindani umeongezeka akikosa vya serikali mtafutie vya binafsi vilivyosajiliwa.
 
kwa ushauri wng!! mwambie asome medical laboratory science!! kunachuo kizuri sn huku tabora kinaitwa nkinga institute of health science!!

Nkinga Igunga, kama nakujua kama nakufahamu mtu wangu, Unamjua mwl jackson shaushi??
 
huwa tunahitaji chem na bios c government anaweza kosa ila private anaweza pata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…