Madaktari naomba niwaulize!

Madaktari naomba niwaulize!

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
686
Madaktari naomba niwaulize,mimba inaweza kugunduliwa imetungwa baada ya siku ngapi?

Nimeuliza maana kuna binti nilikutana nae alhamisi,jana akaniambia ana mimba,tena anadai yangu,hili sio changa la macho kweli.
 
Mkuu ikishaingia tu inaweza kugunduliwa kwa kipimo maalumu cha urine test,hata kama umefanya tendo la ndoa asubuhi jioni ukachukua vipimo.usipagawe mkuu sio changa la macho,jiandaa kupokea kiumbe kipya mkuu!.
 
Kipimo cha mkojo huweza kutoa majibu kuanzia siku ya 14 baada ya tendo mkuu kabla ya hapo ile hormone inayopimwa kwenye mkojo ya beta HCG inakuwa bado haipo nyingi kiasi cha kuwa detected kwenye urine
 
Watu mnakataa watoto wakati mie natafuta hata wa kusingiziwa sipati..
 
Watu mnakataa watoto wakati mie natafuta hata wa kusingiziwa sipati..

Hakuna aliekataa mtoto,tunataka uhakika kua mtoto ni wako. Kulea mtoto wa mtu eti kisa unatamani mtoto huo ni ukichaa.
 
Mkuu ikishaingia tu inaweza kugunduliwa kwa kipimo maalumu cha urine test,hata kama umefanya tendo la ndoa asubuhi jioni ukachukua vipimo.usipagawe mkuu sio changa la macho,jiandaa kupokea kiumbe kipya mkuu!.

haha, hiyo umejifunza wapi? angalia, kuna uwezekano mkubwa sana huyo mtoto uliyenaye si wako.. wa kwanza kupigwa changa la macho ni wewe, so usimpoteze mwenzako.
ok, back to the topic: in principle kipimo cha mkojo hupima hormone ya b-hcg. inahitaji angalau siku 10 tangu mimba itungwe ili kuweza kupata positive results. kwaana hiyo basi, kama mmejamiiana kwa mara ya kwanza juzi, halafu leo mtu anasema ana mimba yako na anakuonyesha kipimo ambacho kiko positive,, hapo jua umeliwa changa la macho baab!! na hii hutokea sana, wanawake wengine wako desparate anasubiri uweke tu dudu lako akutangazie mimba!! au mwingine anakwambia ana mimba then anataka umpe pesa akatoe.. mizinga hiyo.
dunia ni zaidi ya uijuavyo, jishike
 
Back
Top Bottom