donocean
Member
- Jan 10, 2019
- 72
- 46
Hivi kwanini doctors now days wako na aibu sana. Unaweza enda hospital ukamwelezea labda nina kipele sehem za siri.
Lakini swali atakalo kuuliza ni kimeanza lini then kina usaha au hakina ukimjibu anakupa dawa.
Hawezi sema labda akione kikoje au ukimwambia umwonyeshe kilivyo atakuambia hizo ni reaction tu za mwili.
Kumbe ni njia tu ya kuepuka kukuonea soo.