HahahahahahahaTunakagua wanawake tu, wewe mwanaume hujafua boxer wiki zima unataka nikukagua hapanaaa. Nakupa tu antibiotic usepe na vipele vyako( mimi sio Dr. naongea kwa niaba yao).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini doctors now days wako na aibu sana. Unaweza enda hospital ukamwelezea labda nina kipele sehem za siri.
Lakin swali atakalo kuuliza ni kimeanza lini then kina usaha au hakina ukimjibu anakupa dawa.
Hawezi sema labda akione kikoje au ukimwambia umwonyeshe kilivyo atakuambia hizo ni reaction tu za mwili.
Kumbe ni njia tu ya kuepuka kukuonea soo.

Tunakagua wanawake tu, wewe mwanaume hujafua boxer wiki zima unataka nikukagua hapanaaa. Nakupa tu antibiotic usepe na vipele vyako( mimi sio Dr. naongea kwa niaba yao).
Sent using Jamii Forums mobile app
Si dume. Wewe ni wakiume. Mwanaume unalazimishaje uvue nguo ilhali daktari hataki
Daktar lazim ufanye upembuz akinif wa ugonjwa kabla ya kutibSi dume. Wewe ni wakiume. Mwanaume unalazimishaje uvue nguo ilhali daktari hataki
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa Makonda utaenda kupima tez dume!!?
Alikua mtu mzima au kawaida[emoji16][emoji16] kuna siku mzee mbaba nilichomoka xul bac nikajifanya kupitia hospital kibosho pale ili nipate cha kujitetea nikirudi xul ss pale hospital ya kibosho nikamkuta dokta ni sister ss nikamdanganya naugua pumbu erosion ah mzee mama sister akaniambia lala ktk kitanda hapo saula suruari ili akague [emoji3][emoji3][emoji3] kishingo upande nikachojoa suruali sister akakagua zakaria
Yap! Ataje kwanza jinsia yake kwanza maana haelewekiJinsia yako tafadhali??