IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Wagonjwa wenyewe ni sisi pia wana JF. Nadhani kama tatizo ni asante ya neno inategemeana na tamaduni aliyotoka mtu au na wewe pia umeongeaje na mgonjwa wako. Lakini kusema asante si lazima maana umeajiriwa pale na upo uwezekano unapotaka kwenda pia wasiseme asante. Ndugu kila kazi inachallenge hao administrators et al. nao wanapambana na ya kwao. Na kwanamna ulivyoandika, ni vyema umetumia jina si lako vinginevyo watu wangeogopa kutibiwa na daktari wewe. Lakini pia hujachelewa kubadilisha fani kama umechoka.Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
Asante ipi hiyo? Halafu inaonekana kutokana na thread yako uko weak sana professionally, kama ulisoma ulidesa sana mpaka channels huzioni!Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi

Eti mangwini!!! Hizi kasumba ndio ziliwaponza. Tulikuwa madarasa ya aina moja kabisa wengine wakijiita mainjinia na wengine Ma Dr, lakini mbeleni mh sifa za nini? Watu wakabadili proffesion haraka saana kutokana na hali ya soko. Na wewe bado leo hii unaita watu mangwini kama si kupitwa na wakati. Halafu suala la mchango wa kila mtu inategemea kipimo chako. Yeye anatibu watu, kuna wengine wanatoa ushauri nasaha si madaktari, wengine wanatunza fedha na kuweka bajeti sasa kwanini wewe unatuaminisha kuwa mchango wako ni muhim kuliko wa wengine? walimu nao waseme nini? Nina mashaka saana na umri au exposure yako.kwa nini mnamshambulia? mimi sio daktari lakini nakubaliana kabisa na alichosema, mlitaka abemebeleze? hivi nani kati yenu nyie ma ngwini anaweza kulinganisha mchango wake na hawa madaktari
Unahakika na ulichokiandika kwamba wizara ya afya inatangaza nafasi na watu hajitokezi?Nina wasiwasi kama wewe ni mtu wa afya kweli! Tatizo si matangazo ya kazi bali tatizo ni wafanyakazi wennyewe hawataki kuajiriwa na serikali kutokana na scale za mshahara ni ndogo,hazieleweki na unachukua miezi mpaka mitano kupata mshahara wa kwanza wakati private mambo ni fasta fasta.
Wizara ya afya imetoa matangazo sana lkn watu hawajitokezi kwa wingi na wengine wakipangiwa mikoani hawakubali kwenda.Hapo nani alaumiwe?
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
<br />Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi