Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Dah ...

Ndo maana nataka niache kuchekesha watu

Nusura nimwue dear ...

Alcheka sana hafu alkua anakula
Dah ... Aisee

Kacheke nje basi ... Nipo hapa nje utankuta
Usiache kufurahisha Watu. Ila Nje muda huu hapana. Nitakuwa natafuta ugomvi na mbwa
 
Usiache kufurahisha Watu. Ila Nje muda huu hapana. Nitakuwa natafuta ugomvi na mbwa
No inabid niache ...

Nifind happiness na mm

Maana ni mara chache sana mm kucheka ...

Let me laugh also dah ...

Pambanen na hali zenu
 
Hapana huwa ni mazungumzo baada ya habari.

Wengine tuliona udaktari ni mtihani kwetu,sababu ya muingiliano na watoto wa kike.
Nimekuelewa. Kama ulijua huo ni udhaifu wako ni sahihi kuikwepa taaluma. Japo, bado mabinti wapo kila pande. Sioni kama kuna ulichokimbia
 
Nimekuelewa. Kama ulijua huo ni udhaifu wako ni sahihi kuikwepa taaluma. Japo, bado mabinti wapo kila pande. Sioni kama kuna ulichokimbia
Fani niliyonayo leo hii mpaka niwafate mimi ndio naonana nao.
 
We! Nilishapona. Hii kipenzi ya sasa haitakuwa na nguvu kama ya kule hosp. Ila mie mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…