Root canal huanzia elfu 70-90 kwa hospitali za serikali. Kwa Private inaanzia 100,000-200,000/= kulingana na jino.
Sasa kuhusu hospitali ipi inafanya vizuri siwezi kulisemea.
Ila Daktari wa meno anayeweza kuifanya tiba hiyo ni kuanzia mwenye Degree moja (DDS) na kuendelea juu masters (Mdent).
Sasa nenda kwenye hospitali ambayo utampata daktari mwenye qualifications hizo.