Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga kiongoziUpo wapi kiongozi?
Asante kionggozi. unachoma kiasi gani ie volumeAm not a vertellinary but
Hyo shida kanda ya ziwa umesumbua sana
& Suruhisho tulipata kwa kufanya research wenyewe
Tuna tibu kwa combination ya dawa mbili
Pen&sterip + Tylocin(tylovet).
Au pen & strep + otc (oxytetracycline)
Unachoma kwenye mbavu ya tatu chini kidogo usawa wa kwapa la mguu wa mbele!!!!
Namaanisha site ya mapafu ilipo
Dozi ni siku 3
Hyo shida itakua imekwisha labda kama atakuah amesha vuka stage sana
Lakini kwa hii mchanganyiko dawa ni nzurisana & iko poah
Note: usijaribu ,TUMIA
Okasante kionggozi. unachoma kiasi gani ie volume
Nimejikuta nacheka Tu...!
Asante sana. Ubarikiwe mno.Kutokana na maelezo yako Mkuu, Ng'ombe wako ana dalili ya minyoo ya kwenye mapafu na sio infection Katika mfumo wa hewa, kwahiyo kuchoma masindano ya Antibiotics haitokusaidia Kwa sababu utakuwa unatibu tu secondary infection ila kutibu tatizo
Umeanza Bujibuji!
Pamoja Mkuuasante sana. Ubarikiwe mno.
Mkuu huyo ngo'mbe mchome ivomectin,utakuja kunishukuruNgombe wangu anakohoa kwa muda mrefu sasa. Nilimtibu kwa penstrep àkawa Kama amepona. Sasa vimerudi.
Tena nywele za mgongoni zimesimama. Ni tatizo gani na matibabu yake Ni Nini.
Msaada tafadhali
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa,hiyo ni dalili ya minyoo,hivyo anapaswa kutumia dawa ya minyoo,but sio albendazole Bali atumie ivermectin ambayo inachomwa chini ya ngozi,Mana inaonyesha minyoo wameathiri hadi ngozi,kwahiyo kwa matokeo ya haraka aachane na albendazoleKutokana na maelezo yako Mkuu, Ng'ombe wako ana dalili ya minyoo ya kwenye mapafu na sio infection Katika mfumo wa hewa, kwahiyo kuchoma masindano ya Antibiotics haitokusaidia Kwa sababu utakuwa unatibu tu secondary infection ila kutibu tatizo
Tiba ya uhakika, tafuta Albendazole 10% mnyweshe kulingana na uzito wakeKwa awamu 3, Kila week mara 1, Yani mfano ukimpa Leo Alhamisi basi utarudia kumpa tena Alhamisi ya week ijayo na Alhamisi ya week ile inayokuja na tatizo lako litakuwa limeishia hapo
Atakuwa na minyoo ya kutosha Hadi kufkia hiyo hatua, kwahiyo mchome pia ivermectin injection kulingana na uzito wake pia, na hii utarudia baada ya week 2
Kumbuka kuwapa dawa za minyoo wanyama wako Kila baada ya miezi 3, uwape ya kunywesha na ivermectin ya kuchoma na utaondokana na tatizo la minyoo Katika mifugo yako
NB. Kama mnyama wako ana mimba sema kabla hujampa hizo dawa ili ujue njia sahihi ya kumtibia bila kuharibu Mimba
Naheshimu mawazo yako Mkuu, ila unapaswa kujua kuwa hizo dawa zinauwa minyoo aina tofauti ndomana nikashauri atumie zoteMkuu nakubaliana na wewe kabisa,hiyo ni dalili ya minyoo,hivyo anapaswa kutumia dawa ya minyoo,but sio albendazole Bali atumie ivermectin ambayo inachomwa chini ya ngozi,Mana inaonyesha minyoo wameathiri hadi ngozi,kwahiyo kwa matokeo ya haraka aachane na albendazole