Madaktari wamekusudia kuikumbusha gov kuweka salry yao zile millioni 7 kwa mwezi

Madaktari wamekusudia kuikumbusha gov kuweka salry yao zile millioni 7 kwa mwezi

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
Hivi na walimu wanasubiri kitu gani? hali si swari kwa madokta, si swari pia kwa walimu, je wafanye nini waamke?
 
ndugu yangu sisi waalim utuache tu ktk nchi hii gusa kitu kinachoitwa kumtetea mwl utaskia. Manake wenyewe wanakwambia unagusa, karibia 3/4 ya waajiriwa wote wa serikali so ni hatari sana kwa taifa hili.

tupo tulio jaribu tukaambiwa sisi ni vijana wadogo tu, kama dagaa kwenye bwawa la kambale tukifa sisi watakao lia ni wazazi wetu tu na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!
 
Million 7 kwa mwezi?? Hebu acheni utani
 
Back
Top Bottom