ndugu yangu sisi waalim utuache tu ktk nchi hii gusa kitu kinachoitwa kumtetea mwl utaskia. Manake wenyewe wanakwambia unagusa, karibia 3/4 ya waajiriwa wote wa serikali so ni hatari sana kwa taifa hili.
tupo tulio jaribu tukaambiwa sisi ni vijana wadogo tu, kama dagaa kwenye bwawa la kambale tukifa sisi watakao lia ni wazazi wetu tu na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!