Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Aisee,vremaa namuona patrol Josee Kabla mu-avatar yako!Amekuwa mutu ya kabhambee sana.
Poapoa mkuu.Ngoja niendelee kutazama movie ya kilongilongi inaitwa ..."No lititi no liziwa"...(No retreat no surrender)Hahahaha, mukulu acha maneno, sumbuliana na mutoto huyo
MTC | 101| [emoji769]
Umeona eeh, yaani watanzania tumekuwa watu washenzi kabisa. Hatuna jema na wala hatujui kujengana. Kila kukicha ni kubomoana tu. Labda bora Jiwe apige ban tu ya mitandao. Maana kuna watoto wadogo tena wasio na hatia, wenye marafiki huko mashuleni. Nao watasoma yaandikwayo na watu wazima, watumie kuwanyanyapaa. Kama mzazi inauma sana.Mnasema magonjwa ya wenzenu utadhani nyie mmejihakikishia afya njema kwa 100%
Wakati wanaongea kwa kurudiarudia kwenye kipindi cha jahazi, aisee roho iliuma yaan basi tu Mungu amrehemu
Hahaha, Rolen avedon sijui nimepatia jina na Cynthia RockyPoapoa mkuu.Ngoja niendelee kutazama movie ya kilongilongi inaitwa ..."No lititi no liziwa"...(No retreat no surrender)
Hahahahaaa! Tulimuita "Sinsia Rosloki"!Hahaha, Rolen avedon sijui nimepatia jina na Cynthia Rocky
MTC | 101| [emoji769]
[emoji16][emoji16]haya buana[emoji119]Ukongo niutoe wapi Sheryl!?Uonguongo tu umenitawala.Kaa chonjo ntakuibia buree!Uko bien momii?Hahahahaaa
[emoji1787][emoji1787]hii movie nimeangalia 2007 4 the 1st time,....hapo tunatoroka kwenda kwenye vibanda vya mia mia, maana home mmh full cd za nyimbo za diniHahaha, Rolen avedon sijui nimepatia jina na Cynthia Rocky
MTC | 101| [emoji769]
Namchekigi YouTube kabibi hako now!Hahahahaaa! Tulimuita "Sinsia Rosloki"!
Hahahaha, asee mbn 2007 karibu sana Rafiki ,nimetazama hy kwenye miaka ya 97+ tena kwa VHS [ deck za zamani zile ] mkanda unaazima library enzi hizo ,yes adui Mathias[emoji1787][emoji1787]hii movie nimeangalia 2007 4 the 1st time,....hapo tunatoroka kwenda kwenye vibanda vya mia mia, maana home mmh full cd za nyimbo za dini
Jambazi Mathias, mzee wa mamba!
Sent using Jamii Forums mobile app