Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

naomba link nikaone mwenyewe
 
Nani kakuambia Daktari ni mtu mzuri na sio katili? kutoa mimba wao, kuzalisha kwa kisu wao, kule marekani kuua watu waliohukumiwa kifo kwenye death table wao, kukata miguu ya bodaboda wao....
Bora hayo mambo yanafanywa kwa kificho lakini hilo la kutoa taarifa madhaifu ya mgonjwa wake kaenda mbali sana anaweza kuchukuliwa hatua na kufutwa kazi
 
unamuongelea huyu auuu...?
 
Ujinga mtupu. Huko ni kuingilia maisha ya mtu. Kama ni mropokaji ni yeye, acheni aishi maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…