King Muchachu
Member
- Jun 8, 2023
- 6
- 7
Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya hivyo mara mbili kwa nyakati tofauti huko katika hospitali moja [jina nimehifadhi] lakini ipo wilaya ya ilala.
Changamoto nyingine niliyoiona kwa madaktari hawa wapya kazini wanachangamoto ya kutafsiri vipimo kutoka maabara, hivyo wanatumia sana Google, sio jambo baya kutumia lakini kama hujui unacho kitafuta unaweza kumtajia mgonjwa diagnosis kubwa kuliko ule ugonjwa alio nao, ukazua taharuki.
Nivyema serikali ikasisitiza matumizi ya STG kwa madaktari haswa wa sasa ili kuboresha huduma.