meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Hawa waliobaki ni mabaki ya madaktari, madaktari wa uhakika wako nje ya Tanzania, hivi vinavyogoma goma ni vi intern hata pesa bado hawaijui ni nini. Kungekuwa na madaktari hapa tungeona wanene wanavyokwenda kutibiwa nje? mstake ncheke.
wamepigania maslahi bora kwa miaka mingi bila mafanikio,wamekimbia nchi kwa miaka mingi,lakini sasa wametamka rasmi kwamba mwisho wa kukimbia nchi na kuwaacha watanzania wakiteseka ni sasa!!Hata mwanzoni walisema hawatagoma. Mwisho wamegoma na wanaendelea kugoma nchi nzima. Na wala tusidanganyane hawa wajamaa wakipata maslahi mazuri watachomoka mmoja mmoja. Hakuna asietaka maslahi bora.
wanene wanatibiwa nje kwa sababu ni njia ya kula pale wizarani.jiulize mgonjwa mmoja anagharimu sh ngapi kwenda india?kwa nini hao wataalamu wa india wasiajiriwe hapa nchini ?Hawa waliobaki ni mabaki ya madaktari, madaktari wa uhakika wako nje ya Tanzania, hivi vinavyogoma goma ni vi intern hata pesa bado hawaijui ni nini. Kungekuwa na madaktari hapa tungeona wanene wanavyokwenda kutibiwa nje? mstake ncheke.