Madaktari wote njoeni mseme neno hapa

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Habarini ndugu zangu,

Bila kupoteza muda ngoja niende kwa point;

Nilikua najiskia hali ya mvurugo wa tumbo na kichefuchefu mimi ni ME umri ni 28.

Nimeenda kwenye ka dispensary flani hapa kijijini kwetu kupima Dr akasema nicheki mkojo na damu.

Mazingira ya huyu Daktari hayajaniridhisha sana coz mezani kwake kulikua na pakti ya sigara na kiukweli anaonekana alikua kashapiga mvinyo.

Nimempa cheti baada ya vipimo vya maabara ila maelezo aliyonipa nikaona huyu ataniua nikachukua cheti nikamwambia ntarudi baadae.

Naomba ninukuu vilivyoandikwa then mnishauri kabla sijaenda hospital nyingine hapa sina imani napo
Urinalysis
sp.grv- 1.000
ph -6.0
protein- neg
glucose- neg
ketones-neg
blood- neg
bilirum - neg
urobilinogen - normary
sidement - pils cells 20-25/hpf

Anasema aniwekee drip 6 za cypro hiyo itamaliza matatizo yote coz aliniuliza kama nilishawahi tumia dawa za typhod nikamjibu ndio akasema basi vidonge havinisaidii hivyo aniwekee drip sita za cipro then ataniongezea na dawa nyingine za kusafisha mkojo.

Haya wataalam hebu tieni neno hapo
 
Anakuja mzizimkavu kaka subiria tu,pole lakini.
 
yani kiukweli mi cjaelewa.damu iko ok mwana sina ngoma wala malaria
 
Anakuja mzizimkavu kaka subiria tu,pole lakini.

asante sn mkuu japo sijaelewa kwani mjomba mzizi mkavu ni mtaalam wa tiba asili au wa dawa za kikristo
 
yani kiukweli mi cjaelewa.damu iko ok mwana sina ngoma wala malaria

Mkuu we weka tu majibu kama ulivyoweka ya urinalysis mengine kama ni malaria au lolote itajulikana! !!!!

Total and differentials zilifanyika? ???!!!
ESR na vitu kama hivyo????!!!!
 
Mkuu we weka tu majibu kama ulivyoweka ya urinalysis mengine kama ni malaria au lolote itajulikana! !!!!

Total and differentials zilifanyika? ???!!!
ESR na vitu kama hivyo????!!!!

mwana mi amepima vitu viwili kachukua dam na mkojo tu then kanipa karatas imeandikwa ivo tu
 
Kwa urinalysis hapo mtu wa maabara kafanya kazi vzr au tuseme kwa weledi sasa fuatilia majibu ya damu ili tuweze kusema neno
 
Mbona umepotea?Rudi utupe majibu ya damu au umeenda kuhara?
 
ph is low and chembe hai nyeupe zimeongezeka sana kwenye mkojo. kwa lab findings alone hiyo inasuggest UTI,, ila hapo kwenye cipro dripu hapana
 
jamani mi sio mtaalam wa mambo ya maabara ndo mana nimekuja hapa najua kuna wataalam kibao. Nimefika akasema niende maabara huko kanichukua damu na mkojo then baada ya majibu ndo kanipa hiyo karatasi ebeo la vipimo vya blood hajatick kitu ila kaandika WT- reactive yan hii kaiandika kati kati ya E na B
 
ph is low and chembe hai nyeupe zimeongezeka sana kwenye mkojo. kwa lab findings alone hiyo inasuggest UTI,, ila hapo kwenye cipro dripu hapana

thanxx mkuu umefanya critical analysis ya chet hiki saf sn haya nimeweka na kwenye damu chini hapo
 
huyo atakuwa anaona cipro zake haziuzi anataka akubambike. kama cipro vidonge vimeshindwa hata iv itashindwa. njia ni kutafuta dawa mbadala kama azithromycin. kwanza unaaaweza usiwe na typhoid pengine ni shigella tu.
 
thanx mkuu japo umeniongezea homework itabid niingie google nichek hiyo shigella ni kitu gan na dalili zake then niji compare and contrast
 
thanx mkuu japo umeniongezea homework itabid niingie google nichek hiyo shigella ni kitu gan na dalili zake then niji compare and contrast
harafu kama unaumwa tumbo na kutapika kwanini haujapimwa choo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…