Salimin Ramadhan
Member
- Nov 29, 2016
- 21
- 7
Nakushauri uende kwa RASILIMALI LTD wapo mkabala na Benki ya Mkombozi Jengo la Samora Tower ghorofa ya 7. Hao kwa maoni yangu watakufaa. Unaweza kuwasiliana nao na ukanunua On line. BarikiwaNdugu naomba kufahamu juu ya hawa madalali wa Hisa. Nahitaji kuwekeza katika soko la Hisa. Information zote nimefuatilia na mpaka sasa nimebakiza hii moja. Ni company gan inasifa nzuri kati ya company zote zinazojihusisha na udalali wa Hisa maana katika orodha nimeona company zaidi ya 10. Sasa nashindwa niende wapi kwa kuchukulia Hisa zangu.
Shukran san.Nakushauri uende kwa RASILIMALI LTD wapo mkabala na Benki ya Mkombozi Jengo la Samora Tower ghorofa ya 7. Hao kwa maoni yangu watakufaa. Unaweza kuwasiliana nao na ukanunua On line. Barikiwa
Shukran snOrbit security Co..ltd
Kwanza hao Rasilimali LTD ni kampuni dada ya Benki ya Rasilimali ambayo ni ya Serikali hivyo kufilisika si rahisi na kinachofanyika wao ni wakala wa kuuza na kununua Hisa mbalimbali na wakati wa kuuza hukata asilimia mbili kwa ajili ya kuendesha ofisi hivyo kwa wao kufilisika si rahisi kwa kuwa wao wana hudumia wateja wanaokwenda kwao kununua na kuuza HISA. Hata hivyo ni vyema kufanya biashara na wakala wa Serikali ni salama zaidi.Shukran san.
Naomba unijuze kitu kingine kama utakua na ufaham nacho. Kwa mfano nikachkua shares kupitia wao halaf kwa bahat mbaya ikatokea wakayumba na kufunga compny yao. Je naweza kuuza share zangu kupitia hao madalali wengine?
Nashkur San kiongoz.. Be blessedKwanza hao Rasilimali LTD ni kampuni dada ya Benki ya Rasilimali ambayo ni ya Serikali hivyo kufilisika si rahisi na kinachofanyika wao ni wakala wa kuuza na kununua Hisa mbalimbali na wakati wa kuuza hukata asilimia mbili kwa ajili ya kuendesha ofisi hivyo kwa wao kufilisika si rahisi kwa kuwa wao wana hudumia wateja wanaokwenda kwao kununua na kuuza HISA. Hata hivyo ni vyema kufanya biashara na wakala wa Serikali ni salama zaidi.
How?Usithubutu kuenda solomon broker hao jamaa ni wanababaishaji
Nilienda Kuuza hisa zangu 1000 wao wakauza zote 36000 na kila kitu kilinda documentedHow?
Ivi awa Rasilimali Brokers, naona kama wazuri maana kabla ujanunua wanakupa ushauri kwanza chakufanyaHow?
Aiseee basi wanafanana na orbit, pale orbit kuna kipindi nilienda kununua hisa kiasi flan wao wakauza badala ya kununua halafu wakanunua mara mbili ili kufidia walizouza na zile nilizotaka kununua, yana wanaforce wapate commission kubwaNilienda Kuuza hisa zangu 1000 wao wakauza zote 36000 na kila kitu kilinda documented