Madalali, janja janja, mtu Kati wapiga dili ndiyo mnarudisha nyuma timu ya taifa stars

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naweka pembeni kabisa usimba na yanga Sasa nazungumza Kama mdau wa mpira nikiwa na nia ya dhati kabisa nakulitakia mafanikio taifa langu kwenye tasnia ya mpira.

Naam, hakika tunawachezaji wa ndani na wenye viwango lakini likija suala la kitaifa wanaitwa wachezaji ambao hata huwategemei.

Ukifuatilia statistics zao kwenye ligi ya ndani unathibitisha kabisa hakuna kiwango kizuri kilichoonyeshwa lakini timu ya taifa mchezaji anaitwa na walio Bora wanaachwa.

Ndiyo suala la shomari na Mohammed Hussein kuachwa ni kigezo gani kimetazamwa mpaka kuachwa???

Huyo kocha ni Nani aliyemshauri kuwa awaache hao wachezaji tegemezi wazawa ndani ya taifa letu hili???

Feisal salumu kacheza wapi ndani ya miezi mitatu mpaka aitwe yeye aachwe shabalala na shomari kapombe??

Tunajua kabisa Mohammed huseini na shomari kapombe ni wagumu mno kutoa chochote kitu (pesa ya maji ) kwa madalali na ndiyo maana hawakuitwa taifa stars.

Sasa hili likifumbiwa macho mpira wetu utapelekwa kwenye shimo la hewa kwa kuendekeza watu wachache wanaopenda kupewa chenchi na wachezaji ili wawafanyie connection kuingia katika timu ya taifa.

Kocha aachwe afanye kazi yake madalali mkae pembeni.

Tuweke pembeni usimba na yanga tupambane na watu kati, madalali wazee wa connection ili mpira wetu upige hatua mbele.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa vyema kama ungewataja hao madalali
 
Hivk Hawa wamwaga maji mbna mnawapaisha sana wakati wameshuka viwango.

Hamtaki tu kukubali kua hawawezi.
 
Mimi ni Yanga damu! Ila nakiri hadharani Shomari Kapombe na Mohamed Hussein walistahili kuwepo kwenye kile kikosi cha jana. Pale nyuma pangependeza sana kama pangeundwa na wachezaji 3 wa Simba, then wawili wa Yanga; baada ya hapo Kocha angepanga watu anao wataka yeye sasa.

Fei Toto ameitwa kisiasa! Na ndiyo maana kwa upande wangu nasubiria nione kitakachotokea kwa huyo dogo, mara baada ya mechi ya marudio kwa Mkapa kumalizika! Atarejea Yanga, au atarudi zake mafichoni? Na kama atarudi tena mafichoni, kwenye mechi zijazo ataitwa tena?

Na ikitokea hivyo, TFF itakuwa na majibu gani kwa wadau wa mpira wa miguu, kumjumuisha mchezaji asiye na nidhamu na mtoro kwenye timu yake?
 
Mimi ni Yanga damu! Ila nakiri hadharani Shomari Kapombe na Mohamed Hussein walistahili kuwepo kwenye kile kikosi cha jana. Pale nyuma pangependeza sana kama pangeundwa na wachezaji 3 wa Simba, then wawili wa Yanga; baada ya happ Kocha angepanga watu anao wataka yeye sasa.

Fei Toto ameitwa kisiasa! Na ndiyo maana kwa upande wangu nasubiria nione kitakachotokea kwa huyo dogo, mara baada ya mechi ya marudio kwa Mkapa kumalizika! Atarejea Yanga, au atarudi zake mafichoni? Na kama atarudi tena mafichoni, kwenye mechi zijazo ataitwa tena?

Na ikitokea hivyo TFF itakuwa na majibu gani kwa wadau wa mpira wa miguu, kumjumuisha mchezaji asiye na nidhamu na mtoro kwenye timu yake?
Hatari sana Jana kacheza lakini hayupo fiti kabisa kapoteza control huyo dogo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naweka pembeni kabisa usimba na yanga Sasa nazungumza Kama mdau wa mpira nikiwa na nia ya dhati kabisa nakulitakia mafanikio taifa langu kwenye tasnia ya mpira.

Naam, hakika tunawachezaji wa ndani na wenye viwango lakini likija suala la kitaifa wanaitwa wachezaji ambao hata huwategemei.

Ukifuatilia statistics zao kwenye ligi ya ndani unathibitisha kabisa hakuna kiwango kizuri kilichoonyeshwa lakini timu ya taifa mchezaji anaitwa na walio Bora wanaachwa.

Ndiyo suala la shomari na Mohammed Hussein kuachwa ni kigezo gani kimetazamwa mpaka kuachwa???

Huyo kocha ni Nani aliyemshauri kuwa awaache hao wachezaji tegemezi wazawa ndani ya taifa letu hili???

Feisal salumu kacheza wapi ndani ya miezi mitatu mpaka aitwe yeye aachwe shabalala na shomari kapombe??

Tunajua kabisa Mohammed huseini na shomari kapombe ni wagumu mno kutoa chochote kitu (pesa ya maji ) kwa madalali na ndiyo maana hawakuitwa taifa stars.

Sasa hili likifumbiwa macho mpira wetu utapelekwa kwenye shimo la hewa kwa kuendekeza watu wachache wanaopenda kupewa chenchi na wachezaji ili wawafanyie connection kuingia katika timu ya taifa.

Kocha aachwe afanye kazi yake madalali mkae pembeni.

Tuweke pembeni usimba na yanga tupambane na watu kati, madalali wazee wa connection ili mpira wetu upige hatua mbele.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulianza vizuri lakini ukaishia tuhuma za kipuuzi. Yaani Luhende atoe rushwa kucheza Stars kumzidi Shabalala mtakatifu?
 
Hivk Hawa wamwaga maji mbna mnawapaisha sana wakati wameshuka viwango.

Hamtaki tu kukubali kua hawawezi.
Kwenye hii hatua Taifa Stars waliyopo, wanatakiwa kuita wachezaji wanaoshiriki mashindano ya Kimataifa zaidi, na wale Maproo wa nje!

Hivyo tulitarajia kuona wachezaji wengi kutoka simba na Yanga, na wachache kutoka vilabu kama Azam na SBS! Pamoja na akina Samatta.

Sababu za kuachwa full backs wa simba, hazina kabisa mashiko. Na hata jana tumeshinda kwa bahati tu. Maana kiujumla timu ilicheza hovyo mwanzo mwisho.
 
Kweli kabisa mkuu upo sahihi kwa hili naunga mkono hoja.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Halafu mbona hamzungumzii Sure Boy kiunge teleza. Jana alikuwa ana namba yake pale mana viungo wakabaji walijaa kipindi cha kwanza akakosekana kiungo mchezeshaji kama Sure boy.
 
Back
Top Bottom