NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naweka pembeni kabisa usimba na yanga Sasa nazungumza Kama mdau wa mpira nikiwa na nia ya dhati kabisa nakulitakia mafanikio taifa langu kwenye tasnia ya mpira.
Naam, hakika tunawachezaji wa ndani na wenye viwango lakini likija suala la kitaifa wanaitwa wachezaji ambao hata huwategemei.
Ukifuatilia statistics zao kwenye ligi ya ndani unathibitisha kabisa hakuna kiwango kizuri kilichoonyeshwa lakini timu ya taifa mchezaji anaitwa na walio Bora wanaachwa.
Ndiyo suala la shomari na Mohammed Hussein kuachwa ni kigezo gani kimetazamwa mpaka kuachwa???
Huyo kocha ni Nani aliyemshauri kuwa awaache hao wachezaji tegemezi wazawa ndani ya taifa letu hili???
Feisal salumu kacheza wapi ndani ya miezi mitatu mpaka aitwe yeye aachwe shabalala na shomari kapombe??
Tunajua kabisa Mohammed huseini na shomari kapombe ni wagumu mno kutoa chochote kitu (pesa ya maji ) kwa madalali na ndiyo maana hawakuitwa taifa stars.
Sasa hili likifumbiwa macho mpira wetu utapelekwa kwenye shimo la hewa kwa kuendekeza watu wachache wanaopenda kupewa chenchi na wachezaji ili wawafanyie connection kuingia katika timu ya taifa.
Kocha aachwe afanye kazi yake madalali mkae pembeni.
Tuweke pembeni usimba na yanga tupambane na watu kati, madalali wazee wa connection ili mpira wetu upige hatua mbele.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app