Madalali TRA ni wafanyakazi wa TRA au vipi?

Wewe ukishapata huduma ya haraka mengine usiulize, umekosea sana kutompa jamaa kitu kidogo, wanaotafuta riziki hao ya halalo, sasa usijidai wewe ni mtu wa utaratibu saaaaaaana mpaka unakuja kuuliza huku swali ambalo una majibu nalo, fala!
Na ww ni mmoja wao nn, naona imekuuma😅🤣🤣🤣
 
Kuna matangazo kwenye kila ofisi ya TRA.Epuka vishoka.Sasa kama una deal mwenyewe na vishoka usaidiwe vipi?
 
Kuna mmoja anaitwa Hussein pale Bukoba, tapeli na anashirikiana na TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…