KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Prince05

Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
18
Reaction score
29
Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani.

Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari.

Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara ya Kiloleli.
 
Back
Top Bottom