Kweli hii ni kitimoto!Akisema 5 Series wanunuaji hawatajitokeza sababu ni cc 2,500 inabidi aseme 3 series yanye cc 2000 ili waulizaji wawe wengui.
🤣🤣🤣 nilikuwa sijuhiKuna 3 series za 3500 cc
Hapa hakuna biasharaSasa atapata mteja kweli hapa?
Mimi nasema hakuna 3 series ya 3500ccKuna 3 series za 3500 cc
Hakuna 3 series ya cc3500🤣🤣🤣 nilikuwa sijuhi