Madalali wa nyumba Mwanza, nahitaji nyumba

mtumbuavipele

Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
17
Reaction score
27
Habari wanajamvi,

Naombeni mtu yeyoye mwenye namba za madalali wa nyumba Mwanza maana nahamia Mwanza na nahitaji makazi.

Ahsanteni.
 
Mkuu nimi si dalali. Kuna nyumba nauza Nyasaka kwa m30. Kama unauwezo nitafte kwa 0759741303 kwa detail zaidi
 
Duh .......mzee unatania wewe
 
Picha muhimu kwa tangazo la biashara mkuu Ili wateja washawishike
 
Punguza mzigo uliopo ktk memory card kifaa Cha kazi kipakie mzigo maana simu ndo ofisi yako mkuu VALUE
 
Mkuu nilikuwa nahitaji cha kupanga ila nimeshapata shukrani
 
Kisesa IPI?Uelekeo wa sumve au bujora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…