Madalali wa pilipili mwendokasi

Madalali wa pilipili mwendokasi

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
 
Kuna wale wanao hamasisha watu walime kwamba kuna soko au huwa wanawauzia tu mbegu?
 
Back
Top Bottom