Madalali wasajiliwe na walipee kodi


Nakazia. Hili liwahusu madalali wote so long as yeye ni mtu wa kati.

Hawa ndiyo zungu angekuwa anawaongelea wakiwamo wao na posho zao zisizolipiwa kodi.
 
Wanajua sana na kila siku wanapigiwa kelele shida ni kwamba wao ndio wamiliki wa nyumba so kuna conflict of interest.
 
Tatizo kama hutaki, utakosa nyumba ya kupanga unless ubahatishe kupata pa kupanga bila dalali kuhusika.

Wenye nyumba wanashirikiana na madalali kwa kiasi kikubwa.
Nakubaliana na wewe mkuu.Kodi ya mwezi aliyefanya biashara ni mwenye nyumba na sio mpangaji,mpangaji yake anayotakiwa kutoa ni ya mguu tu.
 
CC: The Boss
 
Cc Mwigulu Nchemba usome haya madesa yakusaidie ku-come na reasonable vyanzo vipya vya kodi.

Sio unakaa kupost post tu picha ya Mama Madelu Insta.
 
uliona mbali sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…