Ipo Madale, kilomita 1 tu kutoka barabara kuu.
Imejengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa sqm 500.
Nyumba ina vyumba vinne (4) –
1 ni master bedroom
3 ni self-contained
Sebule kubwa ya kisasa
Jiko zuri la kisasa
Dinning, store, na choo cha wageni (public toilet)
Ina servant quarter
Fence imemalizika na paving + geti la kisasa