K Kichurii New Member Joined Apr 19, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Oct 7, 2024 #1 Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Oct 7, 2024 #2 Okay. Ngoja kikao cha bodi ndo kitafanya maamuzi.