Habalini wanajf kama maada inavyojieleza hapo
Naomba kujua Madam B aliko nimemkumbuka sana
Nime miss sana tafadhari mwenye mawasiliano nae au hata kama ananisikia yeye pls madam sema lolote tu walau nijue kama upo ukimya wako si salama kwa afya yangu