Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

daah hapa naona wamejaa wakongwe, naweza changia pia....

za siku wakuu?
 
Wamefungua id mpya za umri mdogo zaidi, zile za zamani zimezeeka wanakosa soko humu. Ukiona id nyingi mpya usishangae. Watu wanaji update kidogo kuendana na kasi na mahitaji ya jamii.
[emoji106] [emoji106] hata mm naona hivyo mkuu,watu wako kivingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…