Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Umemdhibiti sana huyu jamaa aisee...mpaka mnaua taasisi ya chitchat halafu kumbuka ilianzishwa kwa ajili yenu.
hatujaua bana.....sisi huku tupo live zaidi........kama saa hii tunapiga biyaaaaaaaaaaaaaaaa........
 
hatujaua bana.....sisi huku tupo live zaidi........kama saa hii tunapiga biyaaaaaaaaaaaaaaaa........
Aisee..!Itabidi muweke bango la "Leo Tupo Hapa @Jf chitchat"
Muite basi PJ...
 
hatujaua bana.....sisi huku tupo live zaidi........kama saa hii tunapiga biyaaaaaaaaaaaaaaaa........
Pigaaaaa, round 3 nawajibika.
Naaamini amaroki imepaki hapo pembeni
 
Dah last seen March 4, 2014 natamani arudi
Alikua ananikosha name lile jibu lake "inahuu" utaandika bonge la gazeti banana man jibu lake moja tu inahuu.... Ha ha ha
Nilikuwa napenda ile mnazinguana nae masaa hata mawili
 
Ha ha ha sijui yupo wapi sijui yupo kivingine I miss him sana, Baba V mhenga mwenzio Bishanga yukwapi eti
Halafu kuna yule mwingine alikuwa anazingua kujua kama ni ke au me japo alikuwa na mwandiko wa kike avatar yake mama kabeba mtoto mgongoni na mzigo wa kuni kichawani hala kuna mzee ananyonya nyonyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…