Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Siwezi kabisa maana haina uvuto............!
Type yangu muulize Heaven on Earth atakwambia ............!
Mie huwa sipigi picha nataka uione live mwenyewe kama thomaso ............!
Sasa na nyie wanaume hapa mnavutiwa nini ilivyodebweda hivi?
ulivomkamia!lakini inajulikana ni hasimu wako.wanapendaga ivoivo alivyobabuka
babe,type zako nazijua sio type ya kina
wema sepetu!!!!!
Mrembo by Nature upo hapo ..............!:wave:
Nipo ila kama sijaona vile
Shauri yako utajistukia umeonja ohoooo.............!
Amesema hadi maduka yafungwe...upo hapo?? me yangu macho, mapaja yamekuwa kama ngurue jamani
Ulikuwa wapi jaman wewe, umepotea jamani....au ulikuwa kwenye siasa manake me na siasa na maji na motoNo, nguruwe hana ngozi mbaya ivo. Taratibu unapotoa maoni dhidi ya mnyama wetu kipenzi...
Nimeokoka kuonja hadi ndoa
Mie nimeokolewa ati ......!
Ungejua ninavyompenda wema hata usingesema, sema tu sipendi mkorogo unavyomharibu. Mimi nilishapewa jina humu ndani kuitwa Zamaradi kisa kumtetea wema. Watakushangaa sana
hanishangai mtu tatizo ni umemuexpose sana mwenzio ndo upendo huo? Khs mikorogo ya wema mbona sio mada mpya hapa si mumwache aibu yake mwenyewe
Si unaona siku hizi sipiti kwa wakubwa?
Best rafiki mzuri ni yule anayekuambia ukweli hata kama ni mchungu. anatisha bwana na hayo masteki hapo mapajani
Mie sisemi mengi ngoja ninyamaze, nitakuja kukumbusha .....................!:tape:
Pale bado kuharibiwa na Obagi, unaweza salimia kama ukipokelewa manake unaweza salimu na usipokelewe piaVp Jokate duh naishiwa nguvu sasa ..................!:love:
ok labda sikukusoma uzuri ila sikatai ukweli anachusha lakini amini usiamini wanaume wanapendaga wanawake ambao hata wanatisha kwa jinsi walivyojikoboa.colour yako iko poa usijetamani weupe wa bongo movies.Best rafiki mzuri ni yule anayekuambia ukweli hata kama ni mchungu. anatisha bwana na hayo masteki hapo mapajani
Alikua mzuri kabla ya mkorogo sijui kwanini tu aliamua kukumbwa na jinamizi la weupe eti Mrembo by Nature unaonje si alikua poa tu.before
Alikua mzuri kabla ya mkorogo sijui kwanini tu aliamua kukumbwa na jinamizi la weupe eti Mrembo by Nature unaonje si alikua poa tu.