Madam director a.k.a malkia wa team deki: Siachi ng'oo mpaka maduka yafungwe :

Mrembo by Nature unajua usiporidhika na ulhalisia wako ni taabu sana. Sasa wengi wameanza kuona madhara ya kemikali . Hivi vitu wafanya biashara wanachojali ni cash tu . Hata walioongeza makalio wamenza kupata shida
 
Last edited by a moderator:
Ablessed, ukweli ndio huo, shetani anapokushawishi ufanye jambo against Mungu huwa anakuwa karibu na wewe kweli, ila akishaona unaharinikiwa wala humuoni. Sasa mbona hawampi dawa za kurudisha uasili wake ?ndo shetani ashampa bye bye hivyo asubiri tu kutisha zaidi ya hapo
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri ipo dawa ya kutibu hayo madhara lkn itakua ngumu kuipata ni mpaka ajitahidi kuitafuta sana na hasa nchi za magharibi/ulaya na itakua inauzwa kwa bei ya juu. I believe ipo
 
Nafikiri ipo dawa ya kutibu hayo madhara lkn itakua ngumu kuipata ni mpaka ajitahidi kuitafuta sana na hasa nchi za magharibi/ulaya na itakua inauzwa kwa bei ya juu. I believe ipo

Hatare, alikuwa mzuri sana sema tu ndo hvo imebaki story
 
Mfanyabiashara haezi waza kingine zaidi ya pesa, ndio maana kuna mamlaka za kuratibu haya mambo kama TFDA na TBS.
Mrembo by Nature unajua usiporidhika na ulhalisia wako ni taabu sana. Sasa wengi wameanza kuona madhara ya kemikali . Hivi vitu wafanya biashara wanachojali ni cash tu . Hata walioongeza makalio wamenza kupata shida
 
Last edited by a moderator:
Kiti moto baridaaaaaaaaa .................!

nahisi hata lile eneo la utamu maarufu kama KIPANGURANGODA limeharibika hivi hivi,,,,, ngoja wale wataalamu wa audit wakishfanya substantive testing watakuja kututhibitishia hapa
 
nahisi hata lile eneo la utamu maarufu kama KIPANGURANGODA limeharibika hivi hivi,,,,, ngoja wale wataalamu wa audit wakishfanya substantive testing watakuja kututhibitishia hapa

Hahahahaha ngoja tukutume ukajaribu kusavei mazingira alafu utuletee data
 
alikuwa na afya zaidi alivyokuwa na rangi yake enzi hizo, akipata ajali anashoineka kweli au ndio watamuunga kwa superglue??..... imebakia historia
 
sipati picha akiamua kuacha mkorogo atakuaje?
all in all.nampenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…