Madam, karibu tupendane

Madam, karibu tupendane

OZILY

Senior Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
159
Reaction score
39
Nahitaji mwanamke msichana ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe.

Mimi Nina miaka 32
Mjasiriamali
Mkazi wa Dar es salaam.
Mkristo
Mnene kiasi,maji ya kunde +

Mwanamke ninayemhitaji awe kawaida tu mwenye rangi yake ya asili, ambaye anapenda mapenzi
Kabila lolote
Dini yoyote
Kazi yoyote

Umri asizidi 40 yrs!

Nitafurahi sana nikimpata na nitakuja kushukuru hapa kwakuwa nahitaji ambaye tutamaliza siku za maisha yetu yaliyobaki pamoja.

Nitumie ujumbe PM nitakujibu upesi nahitaji mmoja tu, karibu hutajutia.
 
Yani nimesoma nilipoona unataka mpaka 40yrs nimegundua haupo serious ndio maana umekua na uhaba wa wachangiaji
 
Back
Top Bottom